Psalm 23
Psalm 23
Amapianogospel
Verse 1
Bwana ni mchungaji wangu,
Sitapungukiwa kitu.
Hun'laza penye majani mabichi,
Huniongoza kwa maji matulivu.

Chorus
Hakika wema nazo fadhili
Zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu.

Verse 2
Hunihuisha nafsi yangu,
Hun'ongoza kwa njia za haki.
Nipitapo bondeni mwa mauti,
Sitaogopa wewe u nami.

Chorus
Hakika wema nazo fadhili
Zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu.

Verse 3
Gongo lako na fimbo yako,
Vitanifariji mimi.
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu.

Chorus
Hakika wema nazo fadhili
Zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu.